MKUBWAMUNGU NEWS
MKUBWAMUNGU NEWS ni jukwaa la habari linalotoa taarifa za uhakika, kwa haraka na kwa weledi. Tunalenga kukuletea habari za Tanzania na dunia kuhusu siasa, uchumi, biashara, teknolojia, michezo, afya, elimu na burudani, kwa kuzingatia usahihi, uwazi na maadili ya uandishi wa habari.